Mara Ya Kwanza by Jay Melody
Mara Ya Kwanza by Jay Melody

Mara Ya Kwanza

Jay-melody

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "Mara Ya Kwanza"

Mara Ya Kwanza by Jay Melody

Release Date
Fri May 09 2025
Performed by
Jay-melody
Produced by
Chiby
Writed by

Mara Ya Kwanza Lyrics

[Intro]
Come on, let’s go Jay
Aii

[Verse 1]
Mara ya kwanza
Mara ya kwanza kuingia
Nikawa ka nasikilizia
Uku natafuta njia
Nisije nikaumia, ok

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza

[Verse 2]
Mara ya kwanza kutumia
Nilizunguka dunia
Nikamuuliza baharia
Mbona sa nasinzia, ok

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza

[Verse 3]
Alinambia kwamba hili swala letu halina uzito
Anakuaga sawa hata kama mimi nikiwa sipo
Mambo ya kutojua ndo nikachukulia tu simple
Ameshapata mpenzi yule tulikutana nae disco
Mara ya kwanza kuumia
Siku iyo nililia
Mambo ya kuhusu hisia
Sitaki kuyasikia, ok

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza

[Verse 4]
Mara ya kwanza niliambiwa
Acha umalaya, tulia
Mambo yaku fakamia fakamia
Ah kumbe familia, ok

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza

[Verse 5]
Kuna watu wanapenda sifa
Wakipanda mnazi
We nazi mbili tatu, nne tano sita
Mkononi kashikilia picha
Anaufanya uhuni
We nazi mbili tatu, nne tano sita
Mara ya kwanza, my dear
Uchungu utasikia
Pale ikichanganyia
Ndo utamu unaingia, ok

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza
Ndo mara ya kwanza

[Verse 6]
Mara ya kwanza ukipewa
Kwanza usilambe, tulia
Pipi ya kumegewa
Yenye utamu wa maziwa
Ok, okay

[Chorus]
Ndo mara ya kwanza, ai wee
Ndo mara ya kwanza, oyeh
Ndo mara ya kwanza, ai wee
Ndo mara ya kwanza

[Outro]
Come on, let’s go Jay

Mara Ya Kwanza Q&A

Who produced Mara Ya Kwanza's ?

Mara Ya Kwanza was produced by Chiby.

When did Jay-melody release Mara Ya Kwanza?

Jay-melody released Mara Ya Kwanza on Fri May 09 2025.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com