Lifestyle by Bien (Kenya) (Ft. Scar Mkadinali)
Lifestyle by Bien (Kenya) (Ft. Scar Mkadinali)

Lifestyle

Bien (Kenya) & Scar Mkadinali * Track #13 On Alusa Why Are You Topless?

Lifestyle Lyrics

[Verse 1: Bien-Aimé Baraza]
Kipara bila pesa kidonda
Cheki dem yako anakutoka
Wananiitanga Maradona
Juu mi huwakata nikisonga
Usipandishe mrembo bodaboda
Hiyo ndio siku ya mwisho utamwona
Usiulize ka niligonga
Niulize kile niliona
Ai, aki ya mama nasare dry fry
Na kupiganga bila munda
Vidole mbili weka peace sign
Hizo zingine weka inside

[Bridge: Bien-Aimé Baraza]
You know I pull up like a G
Shawrry ameweza she's a freak
Hakunanga kitu ya free
Naguza nione kaa ni real

[Chorus: Bien-Aimé Baraza] (Scar Mkadinali)
Lifestyle
You know they love me for the
Lifestyle
Niite illuminati kumbe
Lifestyle
Unasema ni bhangi kumbe
Lifestyle
Top G me ndio big propella
Lifеstyle
Haga bigi imejaa kwa dera
Lifеstyle
Na inaclap na inaclap na inaclap
Lifestyle
Na inaclap na inaclap na inaclap
Lifestyle
(Let's get it)

[Verse 2: Scar Mkadinali] (Bien)
Maisha fiti na marafiki tunaungua
Na si cheating kama wifey anajua
Mziki hailipi bas ni vipi nina ganji
Shika tikiti kuja uone vile kwa mic ninachafua
Kikulacho ndio hiyo hapo inakusumbua
Tunajua ni bibi yako ukimwanika tunaanua
Bidii jasho ndio hiyo dinga utanunua
Otherwise piga kalesa naikikuuma unaweza zua
Twende
Lifestyle, kuna wenye inawawasha
Last time tulikataa kupeform Naivasha
Ndani ya 110 ninawapita ka za Nascar
Nilikuwanga wanted lakini saa hii wananitaka
Si ni funnier
Vile hit song imefanya msupa atake kunizalia
Swali kubwa anajiuliza, "mi ni chali ya?"
Siwezi sema juu ni hali ya
(Lifestyle)
Nasipendi mapicha
(Lifesyle)
Ngwai bila filter
(Lifestyle)
Msupa wa mine ninaficha
(Lifestyle)
Bien huwanga mziza
(Lifestyle)
Kila label, kila teaser
(Lifestyle)
Nasipendi mapicha
(Lifestyle)
(Lifestyle)

[Pre-Chorus: Bien-Aimé Baraza]
Maandamano, maandamano
Wamepandisha bei ya avocado
Cheki kaa imeiva finya ka piano
Promoter hapana leta zogo
Kabla show nilipe full price
Hapa duniani nikona one life
Mzinga lazima kwanza baptize
Kwa nyonginyo nikona half life

[Bridge]
You know I pull up like a G
Shawrry ameweza she's a freak
Hakunanga kitu ya free
Naguza nione kaa ni real

[Chorus]
Lifestyle
You know they love me for the
Lifestyle
Niite illuminati kumbe
Lifestyle
Unasema ni bhangi kumbe
Lifestyle
Top G me ndio big propella
Lifestyle
Haga bigi imejaa kwa dera
Lifestyle
Na inaclap na inaclap na inaclap
Lifestyle
Na inaclap na inaclap na inaclap
Lifestyle

Lifestyle Q&A

When did Bien (Kenya) release Lifestyle?

Bien (Kenya) released Lifestyle on Fri Nov 17 2023.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com