Nakuahidi nikishika money
Hautawahi kosa maziwa asali
Na kila siku tutaweka party
Najua vile unapenda sherehe vile nina pends sherehe
Mtoto kiboko Sema kile unaona kwa ndoto nami nitatimiza
Nitatimiza yote
Dunia ni ndogo
Sema kama tusafiri Lesotho ama Argentina America
Tukumbuke vile , tulivyo kazana
Tukumbuke vile, Tulivyo ngangana
Tukumbuke vile,Tulivyo pambana
Tukumbuke vile
Kuna messiah
Ukiweza piga picha
Ukipenda mziki katika
Hizi ni siku Zitapita
Na hizi picha
Zitatukumbusha
Si kilamtu anataka good life
We mwenyewe utajipa good time
Mtoto kiboko Sema kile unaona kwa ndoto nami nitatimiza
Nitatimiza yote
Dunia ni ndogo
Sema kama tusafiri Lesotho ama Argentina America
Lesotho was written by Nviiri the Storyteller.
Lesotho was produced by SO FRESH.
Nviiri the Storyteller released Lesotho on Fri Aug 07 2020.