OG
So leave me alone
Ka hauna mpango ama form
Usinipigie simu don't be calling on my phone
Leave me alone
If you can't keep up with the Jones
I'd rather ukae mbali don't be coming
To my zone
Leave me alone (Leave me alone)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave me alone (Leave me alone)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave me alone (Leave me alone)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave me alone (Wachana na mi)
Yeah, aye
Munabambika na vako‚ zile nyi husoma Mpasho
Ile idhaa niko hustle‚ mi nikipanguza jasho
Mna eneza udaku‚ ndio muongeze za macho
Lakini nakula kichapo, kofi, soki na kahasho
Tangu niende commercial‚ nime kuwa controversial
Ngori zile niko nazo, zimeniletea vikwazo
MaHater wanakaza matako, But OG anakazanga muscle
So usi deadi na mawazo‚ juu kama sio yako ni yako
Now you cannot be in my circle, Omollo, Odinga, Obako
Presenter anaringa na Passo, Utathani amenunua Rav4
Ma show miupiga kila Sato, Design ya Tracy na Marto
Si ndio hukuja Ruracio, kuotea soda na chapo
Nina mbogi ya ushago, na manyako wananiithago
Nina jeshi ya kina Zzero, na zimewashikia Dago
Mi hushindanga na kina Wambo, kwa Ile kibanda ya Pango
Tuko juu ya reggae Kanambo, na tuko radar ya makanjo
So leave me alone
Ka hauna mpango ama form
Usinipigie simu don't be calling on my phone
Leave me alone
If you can't keep up with the Jones
I'd rather ukae mbali don't be coming
To my zone
Leave me alone (Leave me alone)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave me alone (Leave me alone)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave me alone (Leave me alone)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave me alone (Wachana na mi)
Aye
Mnataka kunipimia life as if huwaga ni fair (Fair)
Mpaka watoto wa juzi sai jo wanani dare (How?)
Hii maisha nikuishi vile unataka, ama nijea? (IYeeeah)
So staki nizame na story za pressure ka Natalie Tewa (Nope)
Mtaa mi huaga mimea, kwa telly ni mi wana air
I know you gon' think it ain't fair, but my nigga we never care
Siri niku nyenyekea ndio ujue niwapi una elekea
So kuanzia leo joh mi na declare, that lazima ngoma zita enea
Mna penda kuni bother, kunichafulia radar (Staki)
Huku mi najikaza (Staki), sauti yangu mi na paaza
Mi nikipewa unajua na mada
Bongo, Kapuka, Genge ama Ragga
Tangu wajue skuizi mi ni baba, shorty wangu ako chini ya waba (WABA)
Ni mimi ndio wanapenda kutupia lawama
Juu sai natengeza pesa na hao hawana (STAKI)
Hakuna kitu ya bure, buda nikukazana (IYEEAH)
Juu leo jo watakucheka na kesho ni Karma
So leave me alone
Ka hauna mpango ama form
Usinipigie simu don't be calling on my phone
Leave me alone
If you can't keep up with the Jones
I'd rather ukae mbali don't be coming
To my zone
Leave me alone (Leave me alone)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave me alone (Leave me alone)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave me alone (Leave me alone)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave me alone (Wachana na mi)
Siwajui, siwatambui
Leo napiga mtumba na kesho ndapiga Louise
Na haikuhusu, yangu maisha
Leo bonga chafu kesho ndakunyamazisha
Everyday we on, now we in my zone
Na kama hauna mpango, just get outta my phone
Not with the game, so I suggest you don't
Bring me all the Bullshit, just leave me alone
Back to the vibe and the bitch courted, all of you niggas is distorted
Legendary nigga rich potter, Hao wanakaa kama Kipchoge
Maisha yangu haiwahusu, nyi manyoka nawashuku
Nawapiga marufuku, mi nikipiga tu luku
Nasema siwatambui, hio ufala aikui
So kama we ni adui, leo utajua ujui
Nasema siwatambui, hio ufala aikui
So kama we ni adui, leo utajua ujui
So leave me alone
Ka hauna mpango ama form
Usinipigie simu don't be calling on my phone
Leave me alone
If you can't keep up with the Jones
I'd rather ukae mbali don't be coming
To my zone
Leave me alone (Leave me alone)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave me alone (Leave me alone)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave me alone (Leave me alone)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave me alone (Wachana na mi)
Leave Me Alone (Wachana na mimi) was written by Khaligraph Jones.
Leave Me Alone (Wachana na mimi) was produced by BLU INK & Eibyondatrack & Aress 66.
Khaligraph Jones released Leave Me Alone (Wachana na mimi) on Wed Jun 26 2019.