“ Kwikwi” a new song from Tanzanian singer, songwriter, and WCB Finest, Zuchu.
In addition, zuchu became the first East African female artist to reach that milestone within a week. She also became the first East African female artist to reach 1 million subscribers on YouTube 11 months later. In 202...
Rakata rakata rakata mmh mmh
Rekete rekete rekete zombiee
Rikiti rikiti rikiti acha
Rukutu
Edikudo or medusa
Ilivyo longi inakwangua makoko
Na iyo mijudo
Mbona ntakufa
Mvua sunami, ntaharibu tandiko
Ah wee banaaa
Kwikwiii kwiikwi nitaliaaa
Kwikwiii kwiikwi ukiniachilia
Kwikwii kwiikwi nitaliaaa
Kwikwiii kwiikwi sio kwa unavyonipatia
Oh mai Gaaaaado am crazy for you
Oh mai Gaaaaado am crazy for you
Oh mai Gaaaaado am crazy for you
Oh mai Gaaaaado am crazy for you
Rakata rakata rakata
Rekete rekete rekete
Rikiti rikiti rikiti rukutu rukutu
Rakata rakata rakata
Rekete rekete rekete
Rikiti rikiti rikiti rukutu rukutu
Tena uzikumbuke ahadi zile ulizonigea
Mapenzi vita we ndo gadi bebi utanitetea
Usiruhusu wadangaji wakaanza kukuzoea
Unawajua mafisadi watakata cha kunisemea
Akili itazunguka zunguka zunguka zunguka
Itazunguka ukiniacha mwenzako
Mana Ntaumbuka umbuka umbuka umbuka
Nitaumbuka yote kwaajili yako hee
Kwikwiii kwiikwi nitaliaaa
Kwikwiii kwiikwi ukiniachilia
Kwikwii kwiikwi nitaliaaa
Kwikwiii kwiikwi sio kwa unavyonipatia
Oh mai Gaaaaado am crazy for you
Oh mai Gaaaaado am crazy for you
Oh mai Gaaaaado am crazy for you
Oh mai Gaaaaado am crazy for you
Rakata rakata rakata
Rekete rekete rekete
Rikiti rikiti rikiti rukuti rukutu
Rakata rakata rakata
Rekete rekete rekete
Rikiti rikiti rikiti rukutu rukutu