Katoka Bomu Mwezetu by SABAH SALUM
Katoka Bomu Mwezetu by SABAH SALUM

Katoka Bomu Mwezetu

SABAH SALUM

Download "Katoka Bomu Mwezetu"

Katoka Bomu Mwezetu by SABAH SALUM

Release Date
Tue Feb 14 2023
Performed by
SABAH SALUM

Katoka Bomu Mwezetu Lyrics

Umeusahau utuu kachoka kufdhiliwaa
Kajifanya mtukutu hatakii la kuambiwaa
Umeusahau utuu kachoka kufdhiliwaa
Kajifanya mtukutu hatakii la kuambiwaa
Ameliishwa mrutuutuu Kafikirii ni halawa
Ameliishwa mrutuutuu Kafikirii ni halawa

Katoka bomu mwenzetu wazimu tele kaingiliwaaa
Katoka bomu mwenzetu wazimu tele kaingiliwaaa

Katoka bomu mwenzetu kapikiwa na upatuu
Katoka bomu mwenzetu kapikiwa na upatuu
Ni yeye kidudu mtu roho imejaa kutuu
Ni yeye kidudu mtu roho imejaa kutuu
Kuongea athubutu uyo athubutuu
Kuongea athubutu uyo athubutuu

Ooooohhh aaaaahhhhhh
Ooooohhh mmmmmmmmmhhhhhh

Kujisifia kwa watu haya ameziondoaa
Vyangu kathamini kituu mwenyewe ajiumbuaa
Ujisifia kwa watu haya ameziondoaa
Vyangu kathamini kituu mwenyewe ajiumbuaa
Roho imejaaa kutu hawezi kujizogowa
Roho imejaaa kutu hawezi kujizogowa
Si mwingine huyu wetu kumbe kesha changanyikiwa
Si mwingine huyu wetu kumbe kesha changanyikiwa

Katoka bomu mwenzetu kapikiwa na upatuu
Katoka bomu mwenzetu kapikiwa na upatuu
Ni yeye kidudu mtu roho imejaa kutuu
Ni yeye kidudu mtu roho imejaa kutuu
Kuongea athubutu uyo athubutuu
Kuongea athubutu uyo athubutuu

Wayavamia ya watu umati washatambua
Kuongea athubutu hewani ameshatiwaaa
Wayavamia ya watu umati washatambua
Kuongea athubutu hewani ameshatiwaaa
Apigiwa na upatu hanalokesha humiwa
Apigiwa na upatu hanalokesha humiwa
Ni yeye kidudu mtu amekishwa kuzingua
Ni yeye kidudu mtu amekishwa kuzingua

Katoka bomu mwenzetu kapikiwa na upatuu
Katoka bomu mwenzetu kapikiwa na upatuu
Ni yeye kidudu mtu roho imejaa kutuu
Ni yeye kidudu mtu roho imejaa kutuu
Kuongea athubutu uyo athubutuu
Kuongea athubutu uyo athubutuu

Yumo kinywani mwa chatu hila zote kaishiwa
Mfano jisu butu makali yashapunguaaa
Yumo kinywani mwa chatu hila zote kaishiwa
Mfano jisu butu makali yashapunguaaa
Hatoendela katu dhahiri anazomewaaa
Hatoendela katu dhahiri anazomewaaa
Hasogei tena kwetu kudanganya kazoeaaa
Hasogei tena kwetu kudanganya kazoeaaa

Katoka bomu mwenzetu kapikiwa na upatuu
Katoka bomu mwenzetu kapikiwa na upatuu
Ni yeye kidudu mtu roho imejaa kutuu
Ni yeye kidudu mtu roho imejaa kutuu
Kuongea athubutu uyo athubutuu
Kuongea athubutu uyo athubutuu

Katoka Bomu Mwezetu Q&A

Who wrote Katoka Bomu Mwezetu's ?

Katoka Bomu Mwezetu was written by SABAH SALUM & SABAHA SALUM.

When did SABAH SALUM release Katoka Bomu Mwezetu?

SABAH SALUM released Katoka Bomu Mwezetu on Tue Feb 14 2023.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com