[Intro]
Ooh naaah nanaaah
Eti Jay once again
[Verse 1]
Akipita kwa nje mi nipo kwa dirisha
Namchungulia oh mpaka anafika
Ila sasa hizi habari nilizopata ndo zinanisikitisha
Et naambiwa ame hama kabisa
Ai wee
[Pre Chorus]
Nazi sio nazi, tui sio tui
Nitamwona wapi tena hata sijui
Uuuuh, nazi sio nazi
Oooh, tui sio tui
Nitampata wapi tena hata sijui
[Chorus]
Mbele ya macho yangu ametoweka
Simuoni tena jirani
Ooh, simuoni tena jirani
Shi, simuoni tena jirani
Simuoni tena jirani
Simuoni tena jirani
[Verse 2]
Nimemmiss kweli mpaka nataka kulia
Nikikumbuka asubuhi salam zake akini salimia
Hapa nilipo sielewi
Bora ningeshamwambia
Aondoke akijua ka nampenda tena kwa hisia
[Hook]
Jirani oh uko wapi aah
Aah jirani oh uko wapi aah eeh
[Pre Chorus]
Nazi sio nazi, tui sio tui
Nitamwona wapi tena hata sijui
Uuuuh, nazi sio nazi
Oooh, tui sio tui
Nitampata wapi tena hata sijui
[Chorus]
Mbele ya macho yangu ametoweka
Simuoni tena jirani
Ooh, simuoni tena jirani
Shi, simuoni tena jirani
Simuoni tena jirani
Simuoni tena jirani
Jirani was produced by Chiby.
Jay-melody released Jirani on Tue Apr 29 2025.