JINA by J93 (Ft. BRAVO THE SON)
JINA by J93 (Ft. BRAVO THE SON)

JINA

J93 & BRAVO THE SON

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "JINA"

JINA by J93 (Ft. BRAVO THE SON)

Release Date
Mon Dec 25 2017
Performed by
J93BRAVO THE SON
About

The song is about the names of different people which are given to them according to their duties,appearance and relation to others in the society

JINA Lyrics

INTRO(J93 and BRAVO THE SON)
Yeah J93
Yeah yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah yeah

VERSE 1(J93)
Kwa jina la baba wale marehemu
Wote wapumzike toka kila sehemu
Mademu wanadata jina la ATM
Wengine wanamegwa jina tu la fame
Jina la tamaa wanakufa
Anachomwa tu kwa sabufa
Kutafuta kwao ni ulofa
Huna hata stuli vipi sofa?
Jina changuduo mwisho wake kuchezewa
Bure ukikaa mafanikio kuchelewa
Jichanganye mtaa liziki yako utapewa
Jina la kumega ipo siku utamegewa
Zidi kuzubaa jina mzembe
Changamka upate jina jembe
Tafuta za kwako mshika pembe
Akizingua mpe jina aende

CHORUS(Bravo the son)
Ooh hilo jina tu
Ziwezi kupagawa na hilo jina tu
Ooh hilo jina tu
Acha kuchachawa na hilo jina tu

VERSE 2(J93)
Ujanja mwingi kichwani
Huna hatua fulani
Jina la boya kitaani
Umepewa utani
Mcha MUNGU jina mlokole
Utachelewa jina mwenda pole
Kila siku chini jina sorry
Simba mwenye njaa haachi pori
Hutaki kazi
Wewe paparazi
Jina mjinga ni wewe
Huna makazi
Wala maradhi
Jina mkimbizi ni wewe
Toa sadaka sambaza dini
Jina ibada ni wewe
Daily kuchunwa
Penzi hupati
Jina ulofa ni wewe

CHORUS(Bravo the son)
Ooh hilo jina tu
Ziwezi kupagawa na hilo jina tu
Ooh hilo jina tu
Acha kuchachawa na hilo jina tu
Eyoo eyoo eyooo hilo jina tu
Eyoo eyoo eyooo hilo jina tu
Eyoo eyoo eyoo hilo jina tu
Eyoo eyoo eyoo hilo jina tu

Yeah yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah yeah
Yeah yeah yeah yeah

JINA Q&A

Who wrote JINA's ?

JINA was written by J93 AND BRAVO THE SON.

When did J93 release JINA?

J93 released JINA on Mon Dec 25 2017.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com