Itakuwaje by Maua Sama (Ft. Ali Kiba)
Itakuwaje by Maua Sama (Ft. Ali Kiba)

Itakuwaje

Maua-sama & Ali Kiba

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "Itakuwaje"

Itakuwaje by Maua Sama (Ft. Ali Kiba)

Release Date
Fri Nov 08 2024
Performed by
Maua-samaAli Kiba
Produced by
Genius jini x66
Writed by

Itakuwaje Lyrics

[Intro]
M.A.U.A Sama
Yeah
Gini x66

[Verse 1 : Alikiba]
Nilisema sitopenda, nimependaa
Pendaa tena, aah (aaah)
Sasa nimeshatekwaa, mi nimetekwaa
Oh, tekwa tena

[Pre Chorus : Alikiba]
Yani kama njiwa tunapepea wawili
Mi na yeye, hatuna kitendawili
Nanenepa jamani, si kwa penzi hili
Nisipomwona, mi navurugwa akili

[Chorus : Maua Sama]
Mi nawaza, akiniacha
Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Saa itakuwaje?
Mi nawaza, akiniacha
Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Saa itakuwaje?

[Verse 2 : Maua Sama]
Maapenzi anayonipa
Sitomwacha hata aniache katakata
Kwa gari nimeshafika
Sitoshuka hata anishushe katakata

[Pre Chorus : Maua Sama]
Kama njiwa tunapepea wawili
Mi na yeye, hatuna kitendawili
Nanenepa jamani, si kwa penzi hili
Nisipomwona, mi navurugwa akili

[Chorus : Alikiba & Maua Sama]
Mi nawaza, akiniacha (Uanze wewe? Saa itakuwaje?)
Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Saa itakuwaje?
Mi nawaza, akiniacha (Uanze wewe au mimi?)
Saa itakuwaje? Saa itakuwaje? Saa itakuwaje?

[Outro]
Mi nawaza, akiniacha
Aaaaaaa saa itakuwaje, beibeeii?

Itakuwaje Q&A

Who produced Itakuwaje's ?

Itakuwaje was produced by Genius jini x66.

When did Maua-sama release Itakuwaje?

Maua-sama released Itakuwaje on Fri Nov 08 2024.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com