Hanipendi by Yammi
Hanipendi by Yammi

Hanipendi

Yammi * Track #3 On Three Hearts

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "Hanipendi"

Hanipendi by Yammi

Release Date
Fri Jan 20 2023
Performed by
Yammi

Hanipendi Lyrics

Hivi unavyo nifanyia naomba visijirudi kwako
Maana mi naupenda moyo wako
Nime muonaaa dah.. ume mpost mtu wako
Mnaendana sanaa na mimi sio type yakoo

Nateswa na baridi silalii na weweseka
Kulikosa penzi lako dosari na dhalilika
Wakunipendeza amekuwa dhohari nyinyi nataabika
Zile njozi sizipati nzuri

Ooohhhh
Hanipendi hanipendi hanipendi
Hanitaki teena jamani hanipendi
Hanipendi hanipendi hanipendi
Hanitaki teena hanipendi..

Kabadilika kawa mbogo instagramu ana post madongo
Kautupa moyo kwa korongo sioni kasha nipa chongo
Mapenzi swala la uwongo siamini nime chezeshwa sodo
Mwenzenu nime ukoka moto
Unaniunguza mwenyewee

Nateswa na baridi silalii na weweseka
Kulikosa penzi lako dosari na dhalilika
Wakunipendeza amekuwa dhohari nataabika
Zile njozi sizipati nzuri

Ooohhhh
Hanipendi hanipendi hanipendi
Hanitaki teena jamani hanipendi
Hanipendi hanipendi hanipendi
Hanitaki teena hanipendi

Hanipendi Q&A

When did Yammi release Hanipendi?

Yammi released Hanipendi on Fri Jan 20 2023.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com