Hallelujah by Harmonize
Hallelujah by Harmonize

Hallelujah

Harmonize * Track #2 On Visit Bongo

Hallelujah Lyrics

(Hallelujah hallelujah hallelujah hosanna)
Hallelujah halleluuuu... hallelujah hallelujah hosanna
(Hallelujah hallelujah hallelujah hosanna)

Wee ishi kama haukosei
Watalao panga halitokei
Na kama ikiwa yako haipotei
Mmmh ndo wa juu huwaga haongei
Ukipata wanasema unaringa ukifulia wewe mjinga
Wamezaliwa kupinga hata apangalo babaa ah
Ebwana fanya unachokipenda mradi masiku yanakwenda
Mkono kinywani unakwenda mshukuru mungu babaa

Hallelujah hallelujah hallelujah oh hosanna
(Hallelujah hallelujah hallelujah hosanna)
Hallelujah halleluuuu... hallelujah hallelujah hosanna
(Hallelujah hallelujah hallelujah hosanna)

Piga kila deal inayopay
Iwe mbagala osterbay
Hakikisha kazi huichezei
Maana boss aah
Punguza uongo ukiweza kupunga na hongoo
Usiendekeze migongoo dhambi kwa mungu babaa
Ah ebwana fanya unachokipenda mradi masiku yanakwenda
Mkono kinywani unakwenda mshukuru mungu babaa

Hallelujah hallelujah hallelujah oh hosanna
(Hallelujah hallelujah hallelujah hosanna)
Hallelujah halleluuuu... hallelujah hallelujah hosanna
(Hallelujah hallelujah hallelujah hosanna)

Hallelujah Q&A

Who wrote Hallelujah's ?

Hallelujah was written by Harmonize.

Who produced Hallelujah's ?

Hallelujah was produced by B. Boy.

When did Harmonize release Hallelujah?

Harmonize released Hallelujah on Fri Nov 24 2023.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com