JAB release their most successful song to date, from the 2nd LP “82”.
The video gave rise to Kenya’s first viral video – The return of Makmende.
Makmende made his return global news, and being Kenya’s version of Chuck Norris, it was understantable.
And now for the video
[Intro]
Microphone check one, one two
[Verse 1]
Ukiwasha nare Mathare 'taonja vibare
Mi si mnati, si babi, niko tu katikati
Staki kuskiza story za charity, charity
Nipe wings ni-defy-fy gravity, gravity
Sema oh
[Hook]
Juu tuko works mzeiya
Evacuate the area
Juu tuko works mzeiya
[Verse 2]
Serikali haijali
So naona mbwa kali afadhali
Dame amejam juu dough haikam
Na siwezi kum-show ati life ni exam juu
Ntatupiwa sufuria
Na hizo ni aibu ndogo ndogo mi sipendi
So nikikupita tao, tao
Jua sio madharau-rau
[Hook]
Juu tuko works mzeiya
Evacuate the area
Juu tuko works mzeiya
[Verse 3]
Nipe, nipe nafasi
Nikueleze kiasi
Vile sisi hufanya
Pande hii ya the tracks
Hatuchezi na kazi
Usipoteze wakati
Tumekunja mashati
[Hook] x5
Juu tuko works mzeiya
Evacuate the area
Juu tuko works mzeiya
Ha He was written by Blinky Bill & Just A Band.
Ha He was produced by Eric Musyoka.
Just A Band released Ha He on Sun Mar 14 2010.