[Chorus: Diamond Platnumz]
Poleni wale usiku hatujalala
Wale mabomu yamewapa madhara
Yalosababisha maafa viro hasara
Poleni sana ndugu zangu
Mpaka sasa hawana pakulala
Watoto bado njaa hawajala
Tuzidishe uda na maombi nyingi sala
Poleni sana ndugu zangu
Poleni wale usiku hatujalala (oh oh)
Wale mabomu yamewapa madhara (ah ah)
Yalosababisha maafa viro hasara
Poleni sana ndugu zangu (Gongo la Mboto)
Mpaka sasa hawana pakulala (eh eh)
Watoto bado njaa hawajala (ah ah)
Tuzidishe uda na maombi nyingi sala
Poleni sana ndugu zangu
[Verse 1: Diamond Platnumz]
Eh, Mola
Ona wanao tunakwenda
Eh, tunakwenda nakwenda, nakwenda, nakwenda
Kila siku matatizo
Abba tushike mikono
Walosema idadi ya watu kadhaa
Eti wengine maje raha
Ona wegine wamejifungua
Masikini moja bado
Shida za maisha si usiku si mchana
Na majanga yanazidi twandama
Huku majukumu yame Tanzania, oh mama
Ah ah ah
Kuhusu maidha si usinu si mchana
Majanga yanzidi twandama
Huku majukumu yame Tanzania, oh mama
Iye...
[Chorus: Diamond Platnumz]
Poleni wale usiku hatujalala
(Hatujalala)
Wale mabomu yamewapa madhara
(Mmh madhara)
Yalosababisha maafa viro hasara
Poleni sana ndugu zangu
(Eiih, Gongo la Mboto)
Mpaka sasa hawana pakulala
(Oh, pakulala)
Watoto bado njaa hawajala
(Hawajala)
Tuzidishe uda na maombi nyingi sala
(Nyingi sala)
Poleni sana ndugu sana
[Verse 2: Mrisho Mpoto]
Enyi waTanzania wazalendo wa nchii hii
Akuambiaye usikombe mboga siku zote anataka ushibe
Nani anasema usiku mmoja hauozeshi nyama
Huyo tumegeukie na kumtazame mara mbili maana ametudanganya
Pole nchi yangu, pole Tanzania, poleni sana Gongo La Mboto
Ingekua hadithi ningesema 'paukwa', nikaanza kuwaongopea
Ningekua mwana siasa ningesimama jukwaani nakuwaambia nichagueni mimi
Lakini hizi ni roho za watu haya ni maisha
Poleni sana Gongo La Mboto ndugu zangu waTanzania
Apasuaye nguo lazima awe fundi wa kushona
Kilichotokea Mbagala siku ile, watu walizani cinema kule mikoani
Lakini kule Gongo La Mboto
Hakuna aliyekumbuka viatu wala kumshika mwanae
Hakuna aliyekumbuka mume wala kumbusu mkewe
Najua Tanzania tunavuma kwa ukarimu na upole japokua ni masikini
Lakini uisikia 'puumuuu' ujue kimeshatokew Gongo La Mboto
Tudhihirishe ukarimu wetu na kuitolea Gongo La Mboto
Mungu ibariki Tanzania, mungu ibariki Gongo La Mboto (ibariki)
[Chorus: Diamond Platnumz]
(Pole...)
Poleni wale usiku hatujalala
(Hatujalala)
Wale mabomu yamewapa madhara
(Madhara)
Yalosababisha maafa viro hasara
Poleni sana ndugu zangu
(Ndugu zangu)
Mpaka sasa hawana pakulala
(Pakulala)
Watoto bado njaa hawajala
(Oh, hawajala)
Tuzidishe uda na maombi nyingi sala
Poleni sana ndugu zangu
[Outro: Diamond Platnumz]
Yo, Maneke
Afikishe na pole easy
Na zoafikia kwa nidha kabisa
Outcomes
Mwambie
Hilo piti siwele
Sasa tudangya mbele
Usisahau wana Big Boss
Kasele
It's Diamond Platnumz, baby (President)
Wana niti Raiisi wa Wasafi (President, President)
Watanashati
I'm logging out
Gongo La Mboto was written by Diamond Platnumz.
Gongo La Mboto was produced by Bob Manecky.
Diamond Platnumz released Gongo La Mboto on Mon Nov 14 2011.