Fumbo mfumbie Mjinga by SABAH SALUM (Ft. Zanzibar Stars Modern Taarab)
Fumbo mfumbie Mjinga by SABAH SALUM (Ft. Zanzibar Stars Modern Taarab)

Fumbo mfumbie Mjinga

SABAH SALUM & Zanzibar Stars Modern Taarab

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "Fumbo mfumbie Mjinga"

Fumbo mfumbie Mjinga by SABAH SALUM (Ft. Zanzibar Stars Modern Taarab)

Release Date
Wed Jun 08 2022
Performed by
SABAH SALUMZanzibar Stars Modern Taarab
Produced by
Zanzibar Stars Modern Taarab
Writed by
SABAH SALUM & Zanzibar Stars Modern Taarab
About

Song Bio: Fumbo Mfumbie Mjinga

Artist: Sabah Salum
Band: Zanzibar Stars Modern Taarab
Genre: Taarab
Language: Swahili
Country: Tanzania

“Fumbo Mfumbie Mjinga” is a taarab masterpiece by Sabah Salum that explores themes of resilience, self-respect, and defiance against gossip and jealousy. The song...

Read more ⇣

Fumbo mfumbie Mjinga Lyrics

#CHORUS
Fumbo mfumbie mjinga
Mwerevu! Mwerevu hutambua
Fumbo mfumbie mjinga
Mwerevu! Mwerevu hutambua

#VERSE
Wanifumbia mafumbo
Ukiniona huna raha
Wanifumbia mafumbo
Ukiniona huna raha

#VERSE
Watamani kuniua, kuniua!
Watamani kuniua, kuniua!

#VERSE
Je, nimekuibia mumeo? Sema! Sema!
Je, nimekuazima nguo? Sema! Sema!
Je, nimekuomba chakula? Sema! Sema!
Je, nimekuazima mapambo? Sema! Sema!

#VERSE
Bibie, unikome!
Unikome! Nakuambia, unikome!
Bibie, unikome!
Unikome! Nakuambia, unikome!
#INSTRUMENTAL

#VERSE
Wachemshe hao hao, wachemshe hao hao
Wachemshe hao hao Kwangu mimi utapoa!
Majungu hapo ndiyo kwao
Majungu hapo ndiyo kwao
Majungu hapo ndiyo kwao
Hasidi usiyojijua

#VERSE
Wachemshe hao hao, wachemshe hao hao
Wachemshe hao hao Kwangu mimi utapoa!
Majungu hapo ndiyo kwao
Majungu hapo ndiyo kwao
Majungu hapo ndiyo kwao
Hasidi usiyojijua

#VERSE
Mimi si mke mwenzio, chuki usiniwekee
Usiniwekee vikao, yangu kuyafuatilia
Mimi si mke mwenzio, chuki usiniwekee
Usiniwekee vikao, yangu kuyafuatilia
Mimi si mke mwenzio, chuki usiniwekee
Usiniwekee vikao, yangu kuyafuatilia
Mimi si mke mwenzio, chuki usiniwekee
Usiniwekee vikao, yangu kuyafuatilia

Bibi, wacha ushambenga
Losh! Mzushi wewe
Professor wa kuzua
Losh! Mzushi wewe
Professor wa kuzua
#VERSE
Si hayo tu, na mengine mtazusha
Ya fitina na majungu, kwangu utagonga mwamba
Si hayo tu, na mengine mtazusha
Ya fitina na majungu, kwangu utagonga mwamba
Usinitafute undani, ya kwako yamekushinda
Ya kwako yamekushinda, yangu utayaweza?
Usinitafute undani, ya kwako yamekushinda
Ya kwako yamekushinda, yangu utayaweza?
Ya kwako yamekushinda, yangu utayaweza?
#INSTRUMENTAL

#VERSE
Usinizeeshe mwenzio, usinizeeshe mwenzio
Usinizeeshe mwenzio, midomoni kunitia
Sitembei na mumeo, sitembei na mumeo
Sitembei na mumeo, ndereje kunichukia
Usinizeeshe mwenzio, usinizeeshe mwenzio
Usinizeeshe mwenzio, midomoni kunitia
Sitembei na mumeo, sitembei na mumeo
Sitembei na mumeo, ndereje kunichukia

#VERSE
Mchimbo bibi hashuo, uongo kunizulia
Kuninanga mwisho leo, uongo kunizulia
Mchimbo bibi hashuo, uongo kunizulia
Kuninanga mwisho leo, uongo kunizulia
Mchimbo bibi hashuo, uongo kunizulia
Kuninanga mwisho leo, uongo kunizulia
Mchimbo bibi hashuo, uongo kunizulia
Kuninanga mwisho leo, uongo kunizulia
#VERSE
Nitue mwana mwenzio
Losh! Mzushi wewe
Professor wa kuzua
Losh! Mzushi wewe
Professor wa kuzua

#VERSE
Si hayo na mengi utayasema
Ya umbea na fisadi, kwangu utagonga mwamba
Si hayo na mengi utayasema
Ya umbea na fisadi, kwangu utagonga mwamba
Uso haya ujionii, mafumbo yako ya nini?
Uso haya ujionii, mafumbo yako ya nini?
Ahh Mafumbo yako nini shangingi ushaishiwaa
Mafumbo yako nini shangingi ushaishiwaa
#INSTRUMENTAL

#VERSE
Sitaki! Sitaki maneno na wewe!
Sitaki! Sitaki kukaliwa mwao
Sitaki! Sitaki maneno na wewe!
Sitaki! Sitaki kukaliwa mwao
Wewe unawako, na mie nina wangu
Maneno ya nini?
Wewe unawako, na mie nina wangu
Maneno ya nini?
Sitaki mafumbo kunifumbia mwenzio
Sitaki mafumbo kunifumbia mwenzio

#VERSE
Wewe una nyimbo, mwenzio nina mambo
Rusha roho za nini?
Wewe una nyimbo, mwenzio nina mambo
Rusha roho za nini?

#VERSE
Ukome ukware, kuharibu hadhi yangu!
Ukome ukware, kuharibu hadhi yangu!
Bure kiherehere, hutakiwi kifagio
Kimuhe-muhe cha nini?
Bure kiherehere, hutakiwi kifagio
Kimuhe-muhe cha nini?

Fumbo mfumbie Mjinga Q&A

Who wrote Fumbo mfumbie Mjinga's ?

Fumbo mfumbie Mjinga was written by SABAH SALUM & Zanzibar Stars Modern Taarab.

Who produced Fumbo mfumbie Mjinga's ?

Fumbo mfumbie Mjinga was produced by Zanzibar Stars Modern Taarab.

When did SABAH SALUM release Fumbo mfumbie Mjinga?

SABAH SALUM released Fumbo mfumbie Mjinga on Wed Jun 08 2022.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com