[Hook : K. Martin]
Mali ni safi joh Fika Bei
Sare ungati joh Fika Bei
Mbleina azidi,Omoka zaidi
Take io risk na ufike bei
Mali ni safi joh fika bei
Cheza na rada usicheze safe
One time Two time
Fom zangu nzito hawafiki bei
Mali ni safi joh Fika Bei
Sare ungati joh Fika Bei
Mbleina azidi,Omoka zaidi
Take io risk na ufike bei
Mali ni safi joh fika bei
Cheza na rada usicheze safe
One time Two time
Fom zangu nzito hawafiki bei
[Verse 1: K. Martin]
Kutoka mbali bana cheki hali bana lazma nifike io bei(Bei!)
Noma sana wakiniona sana niko grind nikisaka io hay(Hay!)
Beat naivaa kama bale,(kladi!)
Heavyweight kwenye scale
Niko busy voicemail(hey)
Nikiwaosha bila pail(huh)
Talent ni raw,idhaa ya kublow
Jiamulie acha kuenda na flow
Akili imegrow,moves zinashw
Mi si K. Martin ule wa kitambo
Nafika bei niko humble,One man ka rambo(prrrr!)
Hawa mafala wanakaa kwa mokoro hawanishw shit wanafumble
[Pre hook: K. Martin]
Mali ni safi,(Mali ni safi)
Sare ungati,(Sare ungati)
Mbleina azidi,(Mbleina azidi)
Omoka zaidi,(Omoka zaidi)
[Hook : K. Martin]
Mali ni safi joh Fika Bei
Sare ungati joh Fika Bei
Mbleina azidi,Omoka zaidi
Take io risk na ufike bei
Mali ni safi joh fika bei
Cheza na rada usicheze safe
One time Two time
Fom zangu nzito hawafiki bei
Mali ni safi joh Fika Bei
Sare ungati joh Fika Bei
Mbleina azidi,Omoka zaidi
Take io risk na ufike bei
Mali ni safi joh fika bei
Cheza na rada usicheze safe
One time Two time
Fom zangu nzito hawafiki bei
[Verse 2: Yobra Fafee]
I gues wanahate nimefika bei
Uscome kuomba doh ju leo mi skupei
Tia bidii
Ambia fala afiki bei
Jo azidii
Fika bei saka dem si poko
Fika bei vuta shash si local
Mi nafika bei nasaka izi maweng
Nimebeba kindeng
Naikimbiza na sheng
Kua mpole kizeng
Ntakushandaa
Mi nafika bei ya ki diva kwa kitanda
Mi nafika bei ya ubber si mat
Mi ntafika bei ya mita si ngat
Nistart
kusupply mashada kila kona
Mi nafika bei adi pori zinanona
Na ukifika bei kwenye niko nakupona
Na dem ka boy wako hafikagi bei
Mwambie asake lotion we leo haumpei
[Pre hook: K. Martin]
Mali ni safi,(Mali ni safi)
Sare ungati,(Sare ungati)
Mbleina azidi,(Mbleina azidi)
Omoka zaidi,(Omoka zaidi)
[Hook : K. Martin]
Mali ni safi joh Fika Bei
Sare ungati joh Fika Bei
Mbleina azidi,Omoka zaidi
Take io risk na ufike bei
Mali ni safi joh fika bei
Cheza na rada usicheze safe
One time Two time
Fom zangu nzito hawafiki bei
Mali ni safi joh Fika Bei
Sare ungati joh Fika Bei
Mbleina azidi,Omoka zaidi
Take io risk na ufike bei
Mali ni safi joh fika bei
Cheza na rada usicheze safe
One time Two time
Fom zangu nzito hawafiki bei
Fika bei was written by Martin Wambura.
Fika bei was produced by K. Martin.