Intro
Aje je je
Aye aye Ayeee
Aje je je
Hook
Aje je je hapa Duniani ×4
Verse:1
Ile kwamba tunapita tu
Inanichosha akili na moyo
Riding down town na yangu 🚘Toyo
Geji ⛽ chini Kama taxi za🚦Congo
Na dar nishaitupia mikono juu
Sio kwavile navyoisaka michongo
Kwaisongo nitoboe ndani ya Bongo
Hadi ubishoo nikaupa kisogo
Man najiamini jiamini jiamini
Ila namuhitaji Mungu atakama nipo makini
Wakumuamini hamna Duniani hata Mimi
Nasfi inataka mwili unataka sijui nifanye Nini? Eeh
Ila namuhitaji Mungu atakama nipo makini
Wakumuamini hamna Duniani hata Mimi
Nasfi inataka mwili unataka sijui nifanye Nini?
Hook
Jah Jah! Naishi kama Sina dini
Jah Jah Ooh! I swear to God this life is gonna kill me
Jah Jah! Kila Kona napigwa chini
Jah Jah! Nikama maisha yanataka nibaki chini
Chorus
Aje je je hapa Duniani ×4
Verse 2
We only live once ilo inabidi ulijue
Dar jua Kali tembea peku uungue
I got som' ni**as prolly thinking that I dropped outta school
God damnit, was all offended but I kept it cool
My shwaty needs a glass of wine, yeah she needs to chill
All up on her feels when my homies come around
But I always keep it real I don' want kill the vibe
Let that shit go nimapito
Maana sio mwisho pray for kesho
Toa jasho then feel special
Keep running get the medal.🏅
Hook
Jah Jah! Naishi kama Sina dini
Jah Jah Ooh! I swear to God this life is gonna kill me
Jah Jah! Kila Kona napigwa chini
Jah Jah! Nikama maisha yanataka nibaki chini
Chorus
Aje je je hapa Duniani ×4
Outro:
Remiboi.....