Download "Daraja"

Daraja by Arrow Bwoy

Release Date
Tue Sep 27 2022
Performed by
Arrow Bwoy
Produced by
Vicky pondis
Writed by
Arrow Bwoy

Daraja Lyrics

Intro

Tututu turuturu turuturu
Dem call me Arrow Bwoy
(Vicky pon dis)

VERSE 1

Masaibu ya mapenzi ,unayependana naye kesho anakuchukia
Yule uliyemuenzi ,anageuka sumu kisha penzi anakuvunjia
Picha , picha zote kwa Insta anafuta
Twitter, Twitter hashtag anaweka ya matusi
Picha picha ,zote kwa kuta anashusha, kisha anakupiga block

Bridge

Daraja ,daraja ya mapenzi wanaopita ni wengi
Daraja ,hii daraja ya mapenzi wanaovuka ni wachache

Hook

Otile na Vera walijaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
KRG na Nina wakajaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
Tanasha na Simba walijaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
Jamal Roho Safi na Amber Ray wakaanguka chubwi
'Tua na Lilian walijaribu kuvuka wakaanguka

Aki mapenzi wewe
Aki mapenzi wewe
Aki mapenzi wewe wewe (x2)

Naogopa ,mapenzi naogopa
Naogopa ,mapenzi naogopa
Naogopa

VERSE 2

Kitendawili ya mapenzi ,wengi wameshindwa kuitegua
Na mimi na wasiwasi nashindwa kama nitaitegua
Kitendawili ya mapenzi ,wengi wameshindwa kuitegua
Na mimi na wasiwasi ,nashindwa kama nitaitegua(gua)
(Yeah,yeah, yeah)

Bridge

Daraja, daraja ya mapenzi ,wanaopita ni wengi
Daraja, hii daraja ya mapenzi ,wanaovuka ni wachache

Hook

Mulamwah na Caro walijaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
Simple Boy na Vishy wakajaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
Frankie na Corazon wakajaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi
Huyo Frankie na Maureen walijaribu kuvuka ,wakaanguka chubwi

Aki mapenzi wewe
Aki mapenzi wewe
Aki mapenzi we wewe

Refrain

Naogopa ,mapenzi naogopa
Naogopa ,mapenzi naogopa (kupenda naogopa)
Naogopa ,mapenzi naogopa
Naogopa ,mapenzi naogopa
Naogopa

Daraja Q&A

Who wrote Daraja's ?

Daraja was written by Arrow Bwoy.

Who produced Daraja's ?

Daraja was produced by Vicky pondis.

When did Arrow Bwoy release Daraja?

Arrow Bwoy released Daraja on Tue Sep 27 2022.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com