Dar es Salaam by Marioo
Dar es Salaam by Marioo

Dar es Salaam

Marioo

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "Dar es Salaam"

Dar es Salaam by Marioo

Release Date
Fri Nov 29 2024
Performed by
Marioo
Produced by
Kaniba Creator
Writed by

Dar es Salaam Lyrics

[Intro]
Mh
Kutoka, haloo
(It's Cannibal)

[Verse 1]
Mjini hakuna cha kuokota
Ukikiona usiiname
Mjini hakuna cha bure
Ukipewa usichukue
Ogopa, ogopa matapeli
Hili eneo haliuzwi
Usikojoe hapa, onyo
Faini milioni

[Pre-Chorus]
Ka toto ka 2000
Bingwa wa kuamisha
Otea ana hamisha nini
Ana hamisha vyombo tukimaliza kula
Kula ubwabwa
Ka toto ka 2000
Kalitaka kuuvunja
Otea kuuvunja nini
Kuuvunja mlango eti anaogopa
Anaogopa mende

[Chorus]
Hii bandari salama, salama, salama
(Bandari salama, salama, salama)
Oh, bandari salama, salama, salama
(Bandari salama, salama, salama)
Hii bandari salama, salama, salama
(Bandari salama, salama, salama)
Oh, bandari salama, salama, salama
(Bandari salama, salama, salama)

[Drop]

[Verse 2]
Dar Es Salaam kila bebe iko single
Kama tu una Range Rover
Huku Temeke kila mtu mweupe
Wote kama wazungu
Dar Es Salaam kila bebe ina shepu
Ankali, utavunja shingo
Dar Es Salaam, watoto wote wazuri, 'Take care
Oya shikamoo, marahaba
Achana nayo hiyo kelele
Dar Es Salaam, heshima pesa
(Dar Es Salaam, heshima pesa)

[Hook]
Ka toto
Ka toto
Ka 2000 (Kamefanya je?)
Bingwa wa kuamisha (Mh)
Otea ana hamisha nini
Ana hamisha vyombo tukimaliza kula
Kula ubwabwa
Ka toto ka 2000
Kalitaka kuuvunja
Otea kuuvunja nini
Kuuvunja mlango eti anaogopa
Anaogopa mende

[Post-Chorus]
Hii bandari salama, salama, salama
(Bandari salama, salama, salama)
Oh, bandari salama, salama, salama
(Bandari salama, salama, salama)
Hii bandari salama, salama, salama
(Bandari salama, salama, salama)
Oh, bandari salama, salama, salama
(Bandari salama, salama

Dar es Salaam Q&A

Who produced Dar es Salaam's ?

Dar es Salaam was produced by Kaniba Creator.

When did Marioo release Dar es Salaam?

Marioo released Dar es Salaam on Fri Nov 29 2024.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com