[Intro]
Ooh
Ooh
Ooh
Yo!
Alright
Ah
Ah
Ah
Ah
Ah
Ah
Eh, mama
Yeah, mama
[Verse 1]
Mwenye sura ya makokoto
Kumpata ni protocol
Kamejawa na madeko
Ah, kana madeko, ah
Kwa kuringa kanaringa
Kana mambo ya kitoto, toto
Mwenzenu mi ndio napenda
Ugonjwa wangu 'mi napenda
[Bridge]
Ka kicheka, mi nalia
Jama kananivutia
Mali yangu ikija liwa, oh
Mi nitachanganyikiwa, ah
Ka kicheka, mi nalia
Mi nalia, kananivutia
Mali yangu ikija liwa
Mi nitachanganyikiwa
[Pre-Chorus]
(Ah, olala,lala)
Ni mzuri huyo, nampenda huyo, huyo
(Ah, olala, lala)
Mali yake, roho safi, oh-oh
(Ah, olala, lala)
Safi, oh
Ni mzuri huyo, nampenda huyo, huyo
(Ah, olala, lala)
Mali yake, roho safi, oh-oh
Roho safi, oh
[Chorus]
Chimama
...
Chibaba
(Chibaba)
Mmm
[Verse 2]
Akaanza niita chibaba, chibaba, oh
Chibaba
Nami namuita chimama, chimama, wa mboga saba
Wa moto, oh
Shepu, jicho mpaka shingo
Yaani [?] Mashallah
Sitaki tena kuwa single, oh, oh
[Bridge]
Ka kicheka, mi nalia
Jama kananivutia
Mali yangu ikija liwa, oh
Mi nitachanganyikiwa, ah
Ka kicheka, mi nalia
Mi nalia, kananivutia
Mali yangu ikija liwa
Mi nitachanganyikiwa
[Pre-Chorus]
(Ah, olala,lala)
Ni mzuri huyo, nampenda huyo, huyo
(Ah, olala, lala)
Mali yake, roho safi, oh-oh
(Ah, olala, lala)
Safi, oh
Ni mzuri huyo, nampenda huyo, huyo
(Ah, olala, lala)
Mali yake, roho safi, oh-oh
(Chibaba)
Roho safi, oh
(Chibaba)
[Bridge]
Yup!
(Instrumentals)
Ooh
(Chibaba)
Ooh
Ooh
(Chibaba)
Ooh
Ooh
(Chibaba)
Mmm
[Outro]
Chimama
...
Chibaba