On August 13, 1982, a momentous occasion unfolded in the hearts of Tanzanian music enthusiasts as the illustrious Bongo Flava artist Fareed Kubanda, affectionately known as Fid Q, bestowed a remarkable gift upon his adoring fans. This gift came in the form of an electrifying and invigorating track,...
Vile nina discipline
Hata ukinidiss mimi
Sileti shazi,sikuweki wazi kwenye big screen
Ninasaka chi- ching
Ninafanya big tings
Kazi kazi nyie waduanzi hamnishushi mimi
Mie ni striker mwenye kiu ya kuitikisa
Nyavu/
Mie ni fighter.. kauli mbiu ni kuwashikisha adabu
Taita mwenye mbio ziso-umiza pafu
Kama bysir ukiwa na mlio ukiniita mie ninarapu
Na Nikitema sixteen au hata nyingi bars
Ninarushiwa g-strings.. shilingi au hata bras
Mixa shangwe nyingi, applause.. picha wanipambe mdingi ofcoz watambe wako na king wa flows za kibabe wawachape paah
Mablingbling.. mie huwaga sipendi yavaa
Nimejaa madi-dini.. kichwani mengi sa-
Na ninapowin win..
Ninaona macho ya chini chini
Kama msako wa king pin
Mie Na hustle ni twin twin..
Haters wananuna why sijalegeza? Mayn..
Haupaswi kupuuzwa kama hauna cha kupoteza
Na hata kama ni fedha nyingi nitashika ..
Na kutekeleza yale ya msingi kila dakika
Ninaikumbuka shida mavumba nikishika
Ninawasafisha walionichafua
Walioniombea njaa ninawalisha na kuwanyanyua
Walioniangusha walioniliza ninawafuta chozi
Walionidhulumu wakinikopa ninawalipa ofcoz
Kero za kelelе ninazijua
Na sio kila kinachokusongesha mbele ni hatua.. surе
Kwani.. haujawahi kugomewa na break za gari pindi ukiwa mlimani?
Au kwenye spidi kali..na vigingi havionekani..
Ukapona ajili ya dua za wale witness kwa njia
Kumruhusu mdhaifu akukere hiyo ni weakness pia
Kuna mambo hayaji bila force hivyo ukipozi utanywea
Na kwangu UHURU si chochote ikiwa hautoniruhusu kukosea
We are we are..
We are who we are
We the champions
Sisi ni washindi
We are we are..
We are who we are
We the champions
Sisi ni washindi