2025 by Marioo (Ft. каБэ и Stans)
2025 by Marioo (Ft. каБэ и Stans)

2025

Marioo & каБэ и Stans

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "2025"

2025 by Marioo (Ft. каБэ и Stans)

Release Date
Fri Aug 30 2024
Performed by
MariooкаБэ и Stans
Produced by
Click Master
Writed by

2025 Lyrics

[Intro: Stans & Marioo]
Stans, oh
Click Master
Ai, wewe
Ooh, yeah
Weh, ah

[Verse 1: Marioo]
Baby niposti
Kwani mi si mali yako?
Unamuogopa nani?
Ai wewe, eh
Baby nichum
Kwani mi si mali yako?
Unamuhofia nani?
Ai, wewe
Mi naona raha
Kama tunawakera, ah
Na bila hata kuwagusa
Bila hata kuwasema
Mi naona raha
Kama tunawaboa, ah
Bila hata kuwaomba
Bila hata kuwaghasi, ah

[Pre-Chorus: Marioo]
Mungu kaumba dunia
Ina watu na viatu
Kaumba dunia
Ina vitu na vituko, oh
Mungu kaumba dunia
Ina watu na viatu, ooh
Ila si tunavyo pendana
Wataachana wao

[Chorus: Marioo]
Tunadunda mpaka 2'25, 2'26, 2'27, 'oh 2'28
Tunadunda mpaka 2'29, oh
2'30 oh
Ila si tunavyo pendana
Wataachana wao, oh

[Bridge: Stans]
Yeah
Stans, oh

[Verse 2: Stans]
Yeah
Baby naomba nifanye
Baby naomba nifanye
Nifanye niwe wako daima mpaka mwisho
Oh, baby naomba niweke
Baby, naomba niweke
Ndani ya moyo wako daima, hey
Wale wote wanaojifanya Pweza, wakutabiri penzi
Mwaka huu tuwachinje, tunywe chuzi la kuongeza nguvu, ha
Wale wote wambea, wambea
Watia chumvi penzi, midomo tuwafumbe
Tupendane, waishiwe nguvu (Ha)
Hey

[Hook: Stans]
Mungu kaumba dunia
Ina watu na viatu
Ila si tunavyo pendana
Wataachana wao

[Post-Chorus: Marioo & Stans]
Tunadunda mpaka 2'25, 2'26, (Oh)
2'27, 'oh 2'28
Tunadunda mpaka 2'29, oh
2'30 oh
Ila si tunavyo pendana
Wataachana wao, oh
Hey, Stans oh
Aah, aah, hey

2025 Q&A

Who produced 2025's ?

2025 was produced by Click Master.

When did Marioo release 2025?

Marioo released 2025 on Fri Aug 30 2024.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com