[Chorus]
Simama imara jilinde
Neno lake Bwana imara
Kesha kila siku uombe
Utasimama
[Chorus]
Simama imara jilinde
Neno lake Bwana imara
Kesha kila siku uombe
Utasimama
[Verse]
Milima yote na mabonde
Itayeyuka
Neno lake Bwana imara
Litasimama
[Chorus]
Simama imara jilinde
Neno lake Bwana imara
Kesha kila siku uombe
Utasimama
[Chorus]
Simama imara jilinde
Neno lake Bwana imara
Kesha kila siku uone
Utasimama
Njoki Karu released Simama Imara on Mon Aug 24 2020.