Jali by Sanaipei Tande (Ft. Nyashinski)
Jali by Sanaipei Tande (Ft. Nyashinski)

Jali

Sanaipei Tande & Nyashinski * Track #1 On Nebo (EP)

Download "Jali"

Jali by Sanaipei Tande (Ft. Nyashinski)

Release Date
Tue Mar 22 2022
Performed by
Sanaipei TandeNyashinski
Produced by
Ihaji Made It
Writed by
Nyashinski & Sanaipei Tande

Jali Lyrics

Like you care, like you care
Like you care (Ihaji made it)

[Sanaipei]
Rangi ya mdomo kwenye shirt
Nina uhakika ile marashi sio yake
Bado yuaja kwangu kitandani
Akitaka tubanane
Receipt kila kitu mbili
Amejaa maalama kwenye mwili
Bado yuaja kwangu kitandani
Akitaka tubanane
Anamlale ana mlala na sio siri
Sio habari
Anamlale ana mlala wala hafichi
Sio habari
Niliambiwa akupendaye
Atakuchiti hadharani
Niliambiwa akupendaye
Hatakusitiri hadharani

[Chorus]
Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
Kama wanijali
Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
Kama wanijali
Jali jali jali mmh
Jali jali jali mmh
Jali jali jali mmh
Jali jali jali mmh
Like you care, like you care
Like you care
I say like you care, like you care
Like you care

[Nyashinski]
Hata saa ile sidanganyi unasema mi nadanganya
Utaskizaje maskio yako usazibana
Macho yako yanaona vitu na hakuna kitu unafanya
Hapo ndo tumefikana
Nakuongеlesha nikiona unaona niko guilty
Haimatter kitu nitasema, ndani ya roho inaumiza
Naskia wivu nikiona walе wanapenda
Bila kushughushushana vile inafaa
Vile unataka kufanya fanya leo leo
Ka napanda cheo cheo nipande ka nashuka
Basi nianze kutafuta stage ya maji
Jifanye ka una care pia utaniamini
Uone vile nakuchangeia mami

[Chorus]
Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
Kama wanijali
Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
Kama wanijali
Jali jali jali mmh
Jali jali jali
Jali jali jali mmh
Jali jali jali

Like you care, like you care
Like you care
I say like you care, like you care
Like you care

[Nyashinski]
Never let you down
Never will
Sanaipei Nyashin..
To the chiller, to the chiller

Anamlale ana mlala na sio siri
Sio habari
Anamlale ana mlala wala hafichi
Sio habari

Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
Kama wanijali
Jaribu kunidanganya kama wanijali eh
Kama wanijali
Jali jali jali mmh
Jali jali jali
Jali jali jali mmh
Jali jali

Jali Q&A

Who wrote Jali's ?

Jali was written by Nyashinski & Sanaipei Tande.

Who produced Jali's ?

Jali was produced by Ihaji Made It.

When did Sanaipei Tande release Jali?

Sanaipei Tande released Jali on Tue Mar 22 2022.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com