Mimi Kwa Ajili Yako by Baraka Mkande (Ft. Makame fakii)
Mimi Kwa Ajili Yako by Baraka Mkande (Ft. Makame fakii)

Mimi Kwa Ajili Yako

Baraka Mkande * Track #1 On mimi kwa ajili yako

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "Mimi Kwa Ajili Yako"

Mimi Kwa Ajili Yako by Baraka Mkande (Ft. Makame fakii)

Release Date
Sun Jan 02 2022
Performed by
Baraka Mkande
Produced by
Baraka Mkande
Writed by
Baraka Mkande

Mimi Kwa Ajili Yako Lyrics

Mbona una sononeko,Mbona una sononeko
Wauguwa ndani ndani,Wauguwa ndani ndani
Mbona una sononeko,Mbona una sononeko
Wauguwa ndani ndani,Wauguwa ndani ndani
Halikuishi sumbuko siri hii hadi linii
Uridhishe moyo wako nami niwe furahani
Mimi kwa ajili yako,Mimi kwa ajili yako
Nimeletwa Duniani, Nimeletwa duniani
Ahaaaa
Mimi kwa ajili yako,Mimi kwa ajili yako
Nimeletwa Duniani, Nimeletwa duniani
Bila hili wanna hali minakuwaza moyoni
Wewe ni yangu fakhari sema unaficha nini
Wewe ni yangu fakhari,Wewe ni yangu fakhari
Sema unaficha nini,Sema unaficha nini
Wewe ni yangu fakhari,Wewe ni yangu fakhari
Sema unaficha nini,Sema unaficha nini

Tamka ukitakacho,Tamka ukitakacho
Nikupeni siku hili,Nikupeni siku hili
Tamka ukitakacho,Tamka ukitakacho
Nikupeni siku hili,Nikupeni siku hili
Hata kama kiwe sicho nitakupa muhisani
Mapenzi kihamshacho niridhaa hata nyoyoni
Wacha waone kidicho,Wacha waone Kidicho
Mahasidi Mfatani,Mahasidi mafatanii
Sema nina kuhamisi kwangu huna mshindani
Nitakupa kirahisi washangae mafatanii
Nitakupa kirahisi,Nitakupa kirahisi
Washangae mafatanii,washangae mafatanii
Nitakupa kirahisi washangae mafatanii
Nitakupa kirahisi,Nitakupa kirahisi
Washangaе mafatanii,washangae mafatanii

Kwa fasaha ya ulimi kwa fasaha ya ulimi
Namadoido ya shanii namadoido ya shanii
Kwa fasaha ya ulimi kwa fasaha ya ulimi
Namadoido ya shanii namadoido ya shanii
Kwako kama sio wewe mwеngine we awe nani
Tamka nitakuridhi siku hili muhisanii
Kufutika nimaradhi kufutika nimaradhi
Toa kauli kinywani toa kauli kinywani
Kufutika nimaradhi kufutika nimaradhi
Toa kauli kinywani toa kauli kinywani
Utoe ondoa na hofu naomba ujiamini
Usingoje halafu nishatiwa kaburini
Usingoje halafu,Usingojee halafu
Nishatiwa kaburini,Nishatiwa kaburini
Usingoje halafu,Usingojee halafu
Nishatiwa kaburini,Nishatiwa kaburini

Mimi Kwa Ajili Yako Q&A

Who wrote Mimi Kwa Ajili Yako's ?

Mimi Kwa Ajili Yako was written by Baraka Mkande.

Who produced Mimi Kwa Ajili Yako's ?

Mimi Kwa Ajili Yako was produced by Baraka Mkande.

When did Baraka Mkande release Mimi Kwa Ajili Yako?

Baraka Mkande released Mimi Kwa Ajili Yako on Sun Jan 02 2022.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com