Kamwambie by Diamond Platnumz
Kamwambie by Diamond Platnumz

Kamwambie

Diamond Platnumz * Track #1 On Kamwambie

Download "Kamwambie"

Kamwambie by Diamond Platnumz

Release Date
Sun Oct 18 2009
Performed by
Diamond Platnumz
Produced by
Bob Junior (TZ)
About

“Kamwambie” was the song the put Diamond’s name out there in the Tanzanian market. To this day, this would be Diamond’s first song to gain attention in his hometown.

“Nenda Kamwambie” translates to ‘go tell her’.
It’s about a man wanting to tell a woman his true feelings about her. It talks about h...

Read more ⇣

Kamwambie Lyrics

[Chorus]
Nenda kamwambie (uh huh)
Jinsi navyo mpenda mi (uh huh)
Na kama mapenzi bado (uh huh)
Mwambie nitayongeza mi
Nasema kamwambie (uh huh)
Jinsi navyo mpenda mi (uh huh)
Na kama mapenzi bado (uh huh)
Mwambie nitayongeza mi

[Verse 1]
Sio ningie mori, nyota, na mbala mwezi
Kwa vile mali yake, yeah, yeah
Natamani ila tatizo siwezi
Huenda ingefanya nielewe (ah, ona)
Si alinifunza mapenzi
Nilikuwa sijui kamwambie
Akanidekeza kishenzi
Kwa nyimbo nzuri nimwimbie

[Pre-Chorus]
So asidanganywe na gari burudani na fedha
Mimi akanichukia
Akalishusha thamani penzi nalompenda
Kisa mvinyo na bia
Asidanganywe na gari burudani na fedha
Mimi akanichukia
Mmmh, mwambie asisike mapenzi
Moyo wangu unaumia, eh ah

[Chorus]
Nenda kamwambie (uh huh)
Jinsi navyo mpеnda mi (uh huh)
Na kama mapenzi bado (uh huh)
Mwambie nitayongeza mi
Nasеma kamwambie (uh huh)
Jinsi navyo mpenda mi (uh huh)
Na kama mapenzi bado (uh huh)
Mwambie nitayongeza mi

[Verse 2]
Ah
Nasema siku hizi hakuna fungate
Mapenzi hayana thamani
Hivyo mwambie wanaopenda wachache
Wengi wanatamani
Ooh, wanaanzaga kwa tafadhali
Wakishapewa wanapotea
Mmmh, nenda mwambie ajihadhari
Na dua njema nawombea

[Pre-Chorus]
So asidanganywe na gari burudani na fedha
Mimi akanichukia
Akalishusha thamani penzi nalompenda
Kisa mvinyo na bia
Asidanganywe na gari burudani na fedha
Mimi akanichukia
Mmmh, mwambie asisike mapenzi
Moyo wangu unaumia, eh ah

[Middle 8]
Kamwambie
Kamwambie
Kamwambe
Kamwambie
Kamwambie
Kamwambie
Kamwambie
Kamwambie

[Chorus]
Nenda kamwambie (uh huh)
(Kamwambie)
Jinsi navyo mpenda mi (uh huh)
(Tena napenda sana)
Na kama mapenzi bado (uh huh)
(Mmmh, yeah)
Mwambie nitayongeza mi
(Nitayongeza mama)
Nasema kamwambie (uh huh)
(Kamwambie)
Jinsi navyo mpenda mi (uh huh)
(Napenda sana)
Na kama mapenzi bado (uh huh)
(Mmmh, yeah)
Mwambie nitayongeza mi
(Nitayongeza mama)

[Outro]
Yeah
But thanks, Bob Junior
Mr. Chocolate Flava
Sharobaro Records
Records
Records, records
It's Diamond Platnumz, baby
Yeah
Holla back, ladies
It's time to hang lovely, lovley

Kamwambie Q&A

Who wrote Kamwambie's ?

Kamwambie was written by Diamond Platnumz.

Who produced Kamwambie's ?

Kamwambie was produced by Bob Junior (TZ).

When did Diamond Platnumz release Kamwambie?

Diamond Platnumz released Kamwambie on Sun Oct 18 2009.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com