Wewe ni nani? by Steph Kapela (Ft. Scar Mkadinali)
Wewe ni nani? by Steph Kapela (Ft. Scar Mkadinali)

Wewe ni nani?

Steph Kapela & Scar Mkadinali

Download "Wewe ni nani?"

Wewe ni nani? by Steph Kapela (Ft. Scar Mkadinali)

Performed by
Steph KapelaScar Mkadinali
Produced by
Cap (KE)
Writed by
Steph Kapela & Scar Mkadinali

Wewe ni nani? Lyrics

Wewe ni nani? Wewe ni wa kina nani
Ati umetoka pande gani
Wapi mtaani wapi ni ka haujulikani
Buda umecome na kina nani?
Mbona unakaa summer bunny flani
Unakaa wa Kilimani, umefikaje Kasarani

Buda umejileta pabaya
Wacha kakitu inaweza kutetea
Ata magova ndo wale wabaya
Nampa kakitu na anatembea

Life si fare lazima vijana washibe
Ju maisha ilishatulemea
Huwezi compare kama uliweza kusoma
Usikam kunisomea

Eh kenye ulipewa mi sina
Wengine lazima tusake (Lazima tusake)
Kenye haipatikani kwangu
Lazima ipatikane kwake (Tutapata kwake)

Nalenga chai walai
Nihustle nipate mkate
Bahati mbaya mi nihate
Siwezi kushiba na mate

Mwisho wa rodi labda ni pingu
Labda ni panga vile itakam
Ngori ni ngori bado nakam
Sinaga worry mbogi haram

Mwisho wa rodi labda ni pingu
Labda ni panga vile itakam
Ngori ni ngori bado nakam
Sinaga worry mbogi haram

Wewe ni nani? Ka tukujui tunakudisrespect
Usiulize nakuibia kwa nini
Hata mimi naibiwagwa na MCSK
Nikikupona nanunua makali
Kuomoka na wizi hata mi si-expect

We unaona mabati mi naona nyumbani
Kacheze mbali buda hii si estate
Ambia hako ka-hater bado anatafutwa
Manze na astick aliko

Wanateta mi nina vitu mbili kubwa
Buda dick na ego
Hadharani nina njora
No face utadhani ni horror

Si ni wakora wakuchora
Kukusorora before kukupora
Huku ni kazi na sala azyn hakuna kulala
Wametu-wametukazia sana
Me ndo nakaanga na ganji ya chama
Niko na gari hapana lakini Benz tukikuja matanga
Fala-Fala anakwara tukamvunja mifupa
Kwa kumsamba mapanga

So labda ni pingu
Labda ni panga, vile itakam
Ukianzisha ngori naongeza irori
Ndo tujue ni nani ndo chizi akijam

Mwisho wa rodi labda ni pingu
Labda ni panga vile itakam
Ukianzisha ngori naongeza irori
Ndo tujue ni nani ndo chizi akijam

You gotta know how to move in the city
I walk with a limp, I got money in the shoes
She got em drooling the size of the titties
But they don't know that's where she keeps all the loot

I can't make a call in  the middle of the traffic
Unless the windows is up to the max
And even men I cannot even relax
I know how niggas be moving in packs

I swear we moving the best
Ningewapora but my mama called me
And told me to rap
Mi nina mbogi Kisumu, Nairobi, Nakuru
Mombasa they call me Sultan

These niggas they know me
I'm a hustler hommie si brag
Na si brag na mi niko territory yenu
Hapa chogi anaweza pigwa slap (Pah)

Tao niko rada nikitoa MPESA
Alafu natoa karibu na stage
Nipande matatu ndo wasinifuate
Tukware na donda ju mi sina change

Nikidondoka nakanyaga kubwa kubwa
Ka masaa zimeshapita ten
Ju hata jirani nika wakujui
Usiku kumbuka washapiga shem

Hii rende ni wrong, rende no nonsense
So si wanajuangaa ni nani wata-blame
Chrome inafanya msupa akuwe ratchet
Kumbe anaplan kukukula machain, hahaha

Shika kindom uwashe
Una roho chafu mi staki hiyo chain
Mi si kondoo si move na masses
Hivo ndo mbleina hushikwa na maplain

Wewe ni nani? Q&A

Who wrote Wewe ni nani?'s ?

Wewe ni nani? was written by Steph Kapela & Scar Mkadinali.

Who produced Wewe ni nani?'s ?

Wewe ni nani? was produced by Cap (KE).

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com