Unatamani by AT
Unatamani by AT

Unatamani

At

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "Unatamani"

Unatamani by AT

Performed by
At
Produced by
C-9
Writed by

Unatamani Lyrics

[Chorus:]
Unatamani
Unatamani
Upendane na mimi
Unatamani
Unatamani
Haiwezekani
Unatamani
Unatamani
Upendane na mimi
Unatamani
Unatamani
Haiwezekani

[Post-Chorus:]
Weleh ile; ile leh...
Kwako nitafute nini?
Weleh ile; ile leh...
Mimi na wangu nyumbani
Weleh ile; ile leh...
Kwako nitafute nini?
Weleh ile; ile leh...
Mimi na wangu nyumbani

[Verse 1:]
(?)tabia mbaya ile uliyo jaliwa na pia uwe na haya acha kunichafulia
(?) tabia mbaya ile uliyo jaliwa na pia uwe na haya acha kunichafulia
Ki vyangu vyangu naendelea endelea
Mafanikio yangu ruhusa kuyachukia
Ki vyangu vyangu naendelеa endelea
Mafanikio yangu ruhusa kuyachukia

[Hook:]
Nilidhani dogo kumbе jitu zima lataka muhogo na wala nazi hakuna
Nilidhani dogo kumbe jitu zima lataka muhogo na wala nazi hakuna

Unalotaka unalotaka mbona halikuwa
Umenikosa umenikosa nini umeambulia
Unalotaka unalotaka wala halikuwa
Umenikosa umenikosa nini umeambulia

[Chorus:]
Unatamani
Unatamani
Upendane na mimi
Unatamani
Unatamani
Haiwezekani
Unatamani
Unatamani
Upendane na mimi
Unatamani
Unatamani
Haiwezekani

[Post- Chorus:]
Weleh ile; ile leh...
Kwako nitafute nini?
Weleh ile; ile leh...
Mimi na wangu nyumbani
Weleh ile; ile leh...
Kwako nitafute nini?
Weleh ile; ile leh...
Mimi na wangu nyumbani

[Verse 2:]
Kasheshe zako
Kasheshe zako
Usilete kwangu mimi
Tamaa yako
Tamaa yako
Itafikia mwishoni
Kasheshe zako
Kasheshe zako
Usilete kwangu mimi
Tamaa yako
Tamaa yako
Itafikia mwishoni
Pia nasoma nizijue njia maana naona wani zuilia
Pia nasoma nizijue njia maana naona wani zuilia

[Verse 3:]
Maneno maneno mimi sipendi
Wala ra-ra-ra sizichezi nakuambia ushasikia kiruka njia
Maneno maneno mimi sipendi
Wala ra-ra-ra sizichezi nakuambia ushasikia kiruka njia

[Hook:]
Unalotaka unalotaka mbona halikuwa
Umenikosa umenikosa nini umeambulia
Unalotaka unalotaka wala halikuwa
Umenikosa umenikosa nini umeambulia

[Chorus:]
Unatamani
Unatamani
Upendane na mimi
Unatamani
Unatamani
Haiwezekani
Unatamani
Unatamani
Upendane na mimi
Unatamani
Unatamani
Haiwezekani

[Post- Chorus:]
Weleh ile; ile leh...
Kwako nitafute nini?
Weleh ile; ile leh...
Mimi na wangu nyumbani
Weleh ile; ile leh...
Kwako nitafute nini?
Weleh ile; ile leh...
Mimi na wangu nyumbani

[Hook:]
Kobole mwana' Kobole
Kobole mwana' Kobole
Kobole mwana' Kobole
Kobole mwana' Kobole
Kobole mwana' Kobole
Kobolo mwana' Kobole
Kobole mwana' Kobole
Kobole mwana' Kobole
We! ona Joh sina kapiga na na C9 ( Hey )
Ona Joh sina kapiga na na C9 ( Hey )
We C9 ( Hey )
We C9 ( Hey )
We C9 ( Hey )
Hey
Hey
Hey
We C9 ( Hey )
We C9 ( Hey )
We C9 ( Hey )
Ukiokota okota usioneshe wenzio, wata kunyang'anya

[Hook:]
Tara tara >> Taratibu
Tara tara >> Usijipe aibu
Tara tara >> Taratibu
Tara tara >> Unajipa adhab
Tara tara >> Taratibu
Tara tara >> Usijipe aibu
Tara tara >> Taratibu
Tara tara >> Unajipa adhabu
Ardhi ina mafuta; lakini sio ya kujipaka eh
Hela'

[Chorus:]
Unatamani
Unatamani
Upendane na mimi
Unatamani
Unatamani
Haiwezekani

[Post- Chorus:]
Weleh ile; ile leh...
Kwako nitafute nini?
Weleh ile; ile leh...
Mimi na wangu nyumbani
Weleh ile; ile leh...
Kwako nitafute nini?
Weleh ile; ile leh...
Mimi na wangu nyumbani

[Outro:]
Kobole mwana' Kobole
Kobole mwana' Kobole
Kobole mwana' Kobole
Kobole mwana' Kobole
Kobole mwana' Kobole

Unatamani Q&A

Who produced Unatamani's ?

Unatamani was produced by C-9.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com