Poa is a Sad love song, That feeling you get when you really care and love someone and s/he takes it for granted.! The memories keep haunting you no matter how hard you try to alleviate them.!
Intro:
Switch, S2keezy Baby/
Verse 1:
Mi kwangu Halitia maji, Ila haikatishi tamaa/
Mi bado naishi kwa imani, Ipo siku utabadilika/
Naona kama ndoto, Kugeuza maji kuwa moto/
Umenifanya mtoto, Kuniliza mbele ya mashoga zako/
Nakua mwoga kuamini, Labda macho yangu mi ndo tatizo/
Kile nachokiona siamini, Nahisi labda..... /
Hook:
Japo sili sikomi, kama mchawi ni yeye/
We mweleze sikomi, Kumpenda yeye/
Anipe moyo wake, Maana kauli nakosa/
Urafiki na moyo wake, Maana kauli nakosa/
Chorus:
Asichukulie poa (Asichukulie poa) /
Kuumia sana inaboa (Kuumia sana inaboa) /
Asichukulie poa... Aaah (Asichukulie poa) /
Kuumia sana inaboa.. Aaah (Kuumia sana inaboa) /
Verse 2:
Dawa ya mua fundo, Yamekata imekua ngumu/
Penzi lataka lindo, Kuliweka mbali na sumu/
Naogopa urafiki na pombe, Mwenzake hivo sijazoea/
Kuzurura kwenye vilinge, Wenda nyota hazijafanania/
Aga! Nijiliwaze kwa nyimbo gani, Maana hata zangu nishajiimbia/
Mwenzake hata kula sitamani, Yamenifika ya dunia/
Hook:
Japo sili sikomi, Japo mchawi ni yeye/
We mweleze sikomi, Kumpenda yeye/
Anipe moyo wake, Maana kauli nakosa/
Urafiki na moyo wake, Mwenzenu kauli nakosa/
Chorus:
Asichukulie poa (Asichukulie poa) /
Kuumia sana inaboa (Kuumia sana inaboa) /
Asichukulie poa... Aaah (Asichukulie poa) /
Kuumia sana inaboa.. Inaboa (Kuumia sana inaboa) /
Poa was written by Shebby Medicine.
Poa was produced by .