Pesa Ya Madafu

Jay-moe

The music player is only available for users with at least 1,000 points.

Download "Pesa Ya Madafu"

Pesa Ya Madafu by Jay moe

Performed by
Jay-moe
Produced by
Writed by

Pesa Ya Madafu Lyrics

Chorus:
Pesa ya madafu/
Pesa ya madafu/
Me and my niggas we hustling
Just to get pesa ya madafu/
Pesa ya madafu/
Pesa ya madafu/
Hata shs mia inapigwa hatuiachi ndo zetu si pesa ya madafu/

Verse 1:
Pesa ya madafu/
Sio mpaka hadi hii pesa iwe ndefu/
Sio rofa wa kungoja eti mpaka nipate kitita cha coaster au bus/
Maisha ni tough/
We sema tu maisha ni tough/
Na hakika Bakhressa ana pesa hadi watoto wanasema eti pesa imewakifu/
So me n my ninjas we hustle/
Just to get cheddar ya kumanga na castles/
We fighting disorderly..yeah we tussle/
Hadi referee anatupigia mawhistle/
My niggas im trana get paid/
Nafanya ili baba awе na food on the table evеryday/
Tupige deal tuwe vizuri my guys/
Hizi shillings..me naita pesa ya madafu...
Ni pesa tu ya maji ya kunywa/
We stuck in this life, cos pesa ya mtaji hatuna/
Wakati shefa anaonga vogue waschana/
Street wanasuffer hela ya kisamvu na nguna/
Ni noma..

Chorus:
Pesa ya madafu/
Pesa ya madafu/
Me and my niggas we hustling
Just to get pesa ya madafu/
Pesa ya madafu/
Pesa ya madafu/
Hata shs mia inapigwa hatuiachi ndo zetu si pesa ya madafu/

Verse 2:
Pesa ya madafu/
No matter iwe safi ama chafu/
Naichanga ili iweze kuwa ndefu/
Ili niweze kujenga ghorofa hata 3/
Me nnavyotafuta we uliza viatu/
Leo nzenga kesho nakimbiza meatu/
...Me mtu wa machaka pori kama chatu/
Passport imejaa mavisa ya european/
Im back..lemmi get this rap money/
I was just gone for a minute, I aint runnin/
Nilikuwa natake care of my biness...Allah my witness/
Nipate chapaa nyingine/
Pesa ya madafu..
Ya kuweza pata chaser au mark x/
Bado kutushkika wakax/
Im sick of the facts..
That me my ninjas do hustlin just to get pesa ya madafu/
I dont give a F..iwe noti au sarafu/
Me nnavyoenda race, dogo utapasuka mapafu/
Nashesha..sio nipate pesa ya israfu/
Mi nataka niwe tu financially enough/
Ariff..

Chorus:
Pesa ya madafu/
Pesa ya madafu/
Me and my niggas we hustling
Just to get pesa ya madafu/
Pesa ya madafu/
Pesa ya madafu/
Hata shs mia inapigwa hatuiachi ndo zetu si pesa ya madafu/

Pesa Ya Madafu Q&A

Who wrote Pesa Ya Madafu's ?

Pesa Ya Madafu was written by .

Who produced Pesa Ya Madafu's ?

Pesa Ya Madafu was produced by .

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com