Chorus (Toegther)
Mpenzi nakupenda, namii nakupenda, ujue nakupenda nimekukubali…
Mpenzi nakupenda, namii nakupenda, ujue nakupenda namimi nakubali
Saida
Mpenzi nakupenda, penzi sio kila mtu, mpenzi nakupenda penzi ndio wamuzi wa mtu.
Banana
Na mimi nashukuru mama, unajua hilo
Saida
Tusidanganyane mapenzi si yamtu X2
Moyo wamtu nikiza kinene
Moyo wamtu fumbo kwa wengine
Banana
Maneno yako mpenzi yameja wala simanzi
Saida
Ndani umeja huba mapenzi na mahaba,
lakini pengine nikarata tatu, nikarata tatu jaribu uone
Banana
Naona unaumia nazo zako hisia
Mpenzi nakupenda, asikudanganye mtu, njoo nikupe, nipe nikupe.
Sina mwingine wala shaka usione.
Chorus
Saida
Nitakupa kila kitu mpenzi ujichune, kule kwa wengine kuna ukurutu
Chunguza uone gusa ujikune
Mpenzi nakupenda, mpenzi wala sio pesa
Mpenzi nakupenda, penzi uamuzi wa mtu
Mapenzi sio upatu, sema tu gawane.
Naamini unayosema usaliti kwako sitotenda…
Chorus
Banana
Fungua macho yako, usiumizwe namoyo wako …
Niamini mimi niwako, niamini nimeumbwa kwa ajiri yako
Nipe mkono usikie mapigo yangu yamoyo,
Shika mkono wangu nisikie mapigo yako yamoyo
Nakupenda sana mpenzi, wanipenda unaumizwa namapenzi…… Tupendane milele mimi na wewe.
Chorus
Nakupenda was written by Saida.