Haujapatikana

Tuphy

Download "Haujapatikana"

Haujapatikana by Tuphy

Performed by
Tuphy
Produced by
Bobo Made It & Ammy waves & The Bacteria
Writed by
Tuphy

Haujapatikana Lyrics

TUPHY ~"HAUJAPATIKANA"
Asali ya mapenzi umevuruga,umemwagia dona
Kidonda nilochonacho juu ya penzi lako hakijapona

Nimejaribu nikupigie,simu yako hupatikani
Nimejaribu nikuimbie Wenda utanisikia hewani...

(Semichorus)
Tungedumu mpaka leo
Uwe mke mi mmeo
Penzi umelishusha vyeo
Natapatapa ila

(Chorus)
Haujapatikana
Oh owh owh
Haujapatikanaaaa
Uye ye ye
Uye ye
Haujapatika ah
Oh owh owh
Uye ye ye
Uye ye

Verse2:
Sema bebi nilichokutenda unanipa noma iyoo..
Kipi Zaidi nilichokutenda ukaniumiza roho..
Nyota hainga'ai beibe we ndo tabibu
(tabi tabi tabi)
Chupa linapoza chai beibe
Oh majaribu
(ye ye)

Semichorus)
Tungedumu mpaka leo
Uwe mke mi mmeo
Penzi umelishusha vyeo
Natapatapa ila

(Chorus)
Haujapatikana
Oh owh owh
Haujapatikanaaaa
Uye ye ye
Uye ye
Haujapatika ah
Oh owh owh
Uye ye ye
Uye ye

(Bridge)
Tungedumu mpaka leo
Uwe mke mi mmeo
Penzi umelishusha vyeo
Natapata tapa ila

Chorus
Haujapatikana
Haujapatikaana
Haujapatikana
Haujapatikaana

Haujapatikana Q&A

Who wrote Haujapatikana's ?

Haujapatikana was written by Tuphy.

Who produced Haujapatikana's ?

Haujapatikana was produced by Bobo Made It & Ammy waves & The Bacteria.

Your Gateway to High-Quality MP3, FLAC and Lyrics
DownloadMP3FLAC.com